Header Ads

Advertisement calling VACANCIES INTERVIEW for who applied for TCRA, MZUMBE UNIVERSITY and WMA. Welcome

Visit here for more information about vacance announcements


TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Chuo Kikuu Mzumbe (MU) na Wakala wa Vipimo (WMA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Taasisi hizo kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20 -22 Septemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Kuhusu maelekezo yote na tarehe zake BONYEZA HAPA  ili upakue pdf yenye maelezo kamili.  

Tembelea ukurasa huu kwa taarifa za ajira na nyingine nyingi. Uliza maswali yako hapo chini. 

No comments: