Header Ads

Nafasi za kazi kwenye Shirika la Mzinga lililo chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, wanahitajika watu 43.

Nafasi za ajira JKT
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Mzinga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za
kazi 43 kama zilivyoainishwa hapa chini.

 BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF

No comments: