Header Ads

#BREAKING: Tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) yaahirisha tena uchaguzi kwenye baadhi ya majimbo.


UCHAGUZI WA RAIS NCHINI KENYA 


Tume inayosimamia uchaguzi Kenya IEBC, imeahirisha uchaguzi katika majimbo 4 hadi tarehe 28.10.2017. Uchaguzi wa rais katika majimbo hayo umekumbwa na pingamizi na ghasia. Majimbo hayo ambayo yanachukuliwa kuwa ngome ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga ni Kisumu, Migori, Homabay na Siaya.

No comments: