 |
Akina mama wakichota maji kama unavyoona |
Wilaya ya Maswa inayopatikana mkoani simiyu nchini Tanzania inakabiliwa na tatizo sugu la ukosefu wa maji kutokana na kukauka kwa Bwawa la Zanzui. Wananchi hulazimika kuchimba popote wanapohisi wanaweza kuyapata maji, hali ambayo pia inachangia uharibifu wa mazingira. Fuatilia picha hapo chini.
 |
Mama akiwa kwenye sehemu ya kuchota maji. |
 |
Sehemu ya watu kuchota maji, na hayo ndiyo maji wanayotumia |
 |
Hili ndilo bwawa la Zanzui lililokauka na kuchagia adha kubwa kwa wakazi hawa. |
 |
Wakazi wakiwa wanasubili kuchota maji kwenye foreni |
 |
Mwananchi akichota maji kwa shida |
 |
Sehemu ya kuchota maji iliyochimbwa |
No comments:
Post a Comment