Header Ads

Dar es Salaam: Hoteli kubwa yafungwa kwa kudaiwa kodi zaidi ya Bilioni 5


Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo imefungwa kutokana na kudaiwa kodi ya zaidi ya shilingi Bilion 5.7 na kampuni ya Ubungo Plaza Limited jijini Dar es Salaam.

Hatua hii inakuja baada ya mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kuendelea kuzisakama taasisi zote na makampuni yote yanayokwepa ulipaji wa kodi hapa nchini.  

No comments: