Header Ads

KWA NINI WAZAZI WA DOGO JANJA NA UWOYA HAWAKUWEPO? DOGO AMEJIBU



‘’Ndoa tumefunga Ijumaa iliyopita nyumbani kwa Madee, tuliungana kama WanaTIPTOP tukamfuata bibi harusi nyumbani kwao, nilisimamia harusi kwa niaba ya mama yake Dogo Janja hakufika kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wake.

Ndoa inahitaji mashahidi tu wawili na Sheikh, baraka kutoka kwa mzazi zinatosha tu si lazima awepo, na ufahamu kwamba kwenye tendo la ndoa wazazi hawahusiki ila wametoa baraka zote za ndoa kufungwa,ndugu wa Irene nao walikuwepo baadhi yao’’

No comments: