Header Ads

Mambo 12 ya kufanya kabla haujafikia umri wa miaka 27. Ni muhimu sana kujua


Kwa maisha ya sasa hivi ni muhimu sana kujifunza namna ya kujiwekea akiba. Tazama mambo haya.

1.Jifunze kuweka akiba ya fedha.
2.Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.
3.Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.
4.Lipa madeni yote ya zamani (muhimu sana)
5.Jali sana afya yako.
6.Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.
7.Anza kununua asset kama vile ardhi, Kitanda, vyombo vya nyumbani n.k na sio vitu vya kuendelea kutumia hela yako.
8.Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza.
9.Acha mambo ya kitoto
10.Ya zamani yote futa anza maisha mapya..
11.Achana na starehe zisizo na maana.
12.Zingatia sana muda wako.

WATUMIE VIJANA WENGINE KAMA CHANGAMOTO.

No comments: