Mwandishi mkuu wa gazeti la Daily News, Bi Rose Athumani afariki dunia.
Familia ya Bi Rose Athuman ilitoa habari hizi za kusikitisha siku ya Alhamisi asubuhi na mipango ya kuzika kwake ilikuwa bado inaendelea.
![]() |
| Bi Rose Athumani akiwa katika majukumu enzi za uhai wake. |
Mhariri mwandamizi wa gazeti la Daily News, Leonard Mwakalebela alisema kuwa gazeti hili limepoteza mfanyakazi mwenye bidii na nidhamu katika kazi.
"Tumekuwa na majonzi na kushangazwa kwa kifo Rose ... ameacha pengo si tu kwa kampuni, lakini pia sekta ya vyombo vya habari kwa ujumla," Bw Mwakalebela aliongeza"



No comments:
Post a Comment