Header Ads

Taarifa ya ufafanuzi namna ya kuripoti kwa walioitwa kazini idara ya afya.


Ikumbukwe kuwa, mwanzo kabisa ajira zilitolewa na kuthitushwa na suala la uwekaji sawa wa taarifa za waajiriwa.

Kwa walioitwa kazini idara hiyo ya afya wamegawanyika katika makundi mawili;

1. Kundi la kwanza ni la watu 30 ambao wameitwa wizara ya Afya na wanatakiwa kuripoti Makao Makuu ya Wizara ya Afya Dodoma.

2. Kundi la pili ni la watu 2058 ambao wao wanatakiwa kuripoti katika mikoa na halmashauri mbalimbali walizopangiwa.
Kupata majina yao GUSA HAPA KUSOMA MAJINA HAYO

Majina ya wale 30 wanaotakiwa kuripoti Makao Makuu ya Wizara ya Afya Dodoma, na maelekezo mengine kwa wote GUSA HAPA

KALUNDE BLOG INAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAJUKUMU YENU KAMA TAALUMA YENU INAVYOELEKEZA. 

KURUDI MENU KUU KWA HABARI ZINGINE GUSA HAPA

No comments: