Header Ads

Wahamiaji haramu takribani 100 wamekamatwa mkoani Mwanza.






Operesheni maalumu iliyofanywa na Maafisa wa idara ya uhamiaji mkoani Mwanza, imefanikisha kukamatwa kwa wahamiaji haramu zaidi ya 50 wilayani Ilemela, wakiwa katika shughuli za kilimo na uvuvi katika mwambao wa ziwa Victoria.


Wahamiaji hao ni wa kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Kenya, Rwanda Ethiopia na nchi nyingine nje ya Afrika.

No comments: