WANAFUNZI 3 WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA RADI.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya ya Mbozi Dr. Janeth Makoye amesema wanafunzi hao wamefikishwa hospitali ya Vwawa wakiwa wamefariki.
Itakumbukwa kuwa mwaka huu hasa kwa wakati huu wa mvua, radi imesababisha vifo vya watu kadhaa nchinj ikiwemo wilaya ya Ngara iliyopo mkoani Kagera. Ni vyema vyombo vya hali la hewa pamoja na vyombo vinavyohusika kuongeza taarifa zake kwa watu kwa namna ya kujikinga na radi.
Chanzo: ITV
No comments:
Post a Comment