Header Ads

MAKONDA AWAONYA WATENDAJI WANAOZUIA WASANII KUREKODI VIDEO/MUVI JIJINI DAR ES SALAAM. CLICK



Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepiga marufuku baadhi ya watendaji wanaozuia wasanii kurekodi video za nyimbo au muvi kwenye mandhari mbalimbali za jiji hilo na kusema kuwa kufanya hivyo kunairudisha nyuma sekta ya utalii. Kufuatia onyo hilo, Makondoa amehalalisha maeneo mbalimbali na kutoa kibali kwa wasanii kufanya kazi zao katika maeneo mbalimbali isipokuwa Ikulu, Mahakama, maeneo ya jeshi na vituo vya polisi ambapo panahitaji vibali maalumu.

No comments: