Header Ads

NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI 113 ZIMETANGAZWA SERIKALINI, INGIA HAPA KUSOMA KAZI HIZO. CLICK


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/J/112
 28 Machi, 2018

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini – RITA, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza  nafasi wazi za kazi 113 kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

No comments: