Header Ads

NECTA WAMETOA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017 WALIOKATA RUFAA. CLICK

Baraza la Mitihani Tanzania limetoa matokeo ya vijana waliokuwa wamekata rufaa juu ya ufaulu wao wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017.

Matokeo hayo yamewekwa kwa awamu ya kwanza na yamewekwa kwa mfumo wa pdf.
CLICK HAPA UPAKUE PDF YENYE MATOKEO HAYO

No comments: