POLISI: MWENYEKITI WA MTANDAO WA WANAFUNZI, ABDUL NONDO HAKUTEKWA KAMA INAVYODAIWA, BALI ALIENDA KWA MPENZI WAKE IRINGA. CLICK
DAR: Kamanda wa Jeshi la Polisi, Lazaro Mambosasa amesema kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi, Abdul Nondo hakutekwa kama ilivyodaiwa
-
Uchunguzi umebainisha kuwa alikwenda Mkoani Iringa kwa mpenzi wake waliyekuwa wakiwasiliana muda wote wa safari
-
Simu ya Abdul Nondo ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) ilikuwa hewani ikifanya mawasilino na watu mbalimbali
-
Kamanda Mambosasa amebainisha kuwa kijana huyo alijisafirisha mwenyewe akiwa huru na salama
-
Taratibu za kisheria zikikamilia Abdul Nondo atafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili
No comments:
Post a Comment