Header Ads

SCHOLARSHIPS KWA WATANZANIA KUSOMA CHINA UZAMILI (MASTERS) NA UZAMIVU (PHDs) KADA YA AFYA. KUOMBA GUSA HAPA


TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)

Ufadhili wa masomo nchini China kwa watumishi wa afya kutoka Taasisi za Umma
Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia imepokea fursa za ufadhili wa masomo
kutoka Serikali ya China kupitia Ubalozi wa China nchini Tanzania kwa watumishi 20 wa Serikali na Taasisi zake kwenda kuongeza umahiri katika fani za Afya katika ngazi ya Uzamili (Masters) na Uzamivu (PhD).

Nafasi hizi zimepewa kipaumbele kwa waombaji kutoka Wizara ya Afya,
Hospitali ya Taifa Muhimbili, na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHAS).

Kwa maelezo zaidi na namna ya uombaji, rejea tangazo la fursa za masomo nchini China kwa mwaka wa masomo 2018/2019 GUSA HAPA KUSOMA TAARIFA KAMILI KUTOKA TCU

Imetolewa na: 

KATIBU MTENDAJI 
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)

No comments: