Header Ads

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW) WALIOOMBA KAZI KWENYE KADA MBALIMBALI. CLICK



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.Na EA.7/96/01/I/110 

08 Machi, 2018
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI 


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Ajira mbalimbali anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya
kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo: CLICK HAPA UPAKUE PDF YENYE MAJINA NA TAARIFA KAMILI

No comments: