MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA TANZANIA (NIDA) YAKANUSHA TANGAZO LA AJIRA. CLICK HAPA
#Taarifa.
Tanaomba kuwajulisha Wananchi na umma kwa jumla kuwa tangazo la ajira linalozunguka katika mitandao ya kijamii si rasmi na halina ukweli wowote. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa haijatangaza nafasi za ajira.
Hivyo tunaomba mnapokutana na tangazo hilo kulipuuza kwani limetolewa na wahuni wachache kwa nia zao ikiwemo kuleta usumbufu kwa wananchi.
Mamlaka inaendelea kufuatilia wahusika ambao ni chanzo cha hii taarifa na pindi watakapojulikana hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Tafadhali upatapo taarifa hii, mjulishe na mwingine.
TANGAZO LENYEWE NI HILO HAPO CHINI.
No comments:
Post a Comment