Header Ads

MWANAMKE ALIYEBEBESHWA MIMBA NA MCHINA UTAMHURUMIA, AMESEMA HAYA HAPA KWENYE MKUTANO WA RC MAKONDA. CLICK


Leo katika mkutano wa RC MAKONDA hiki ndicho alichokisema dada aliyepewa mimba na Mchina

"Tulikutana Gongo la Mboto na baba mtoto huyu alikuwa anafanya kazi kampuni ya Hygen walikuwa wanajenga nyumba za wanajeshi sasa hizo nyumba zimekwisha, aliondoka hapa Tanzania baada ya kibali chake kuisha, wakati anaondoka nilikuwa na imani kuwa hata mimi atanikumbuka lakini mpaka sasa hivi hakuna mawasiliano wala jambo lolote linaloendelea, huyu mtoto saizi ana miaka miwili na miezi mitatu, kipindi napata ujauzito mpaka najifungua alikuwa ananitunza vizuri tu ila alipoondoka tu ndiyo sina mawasiliano naye " Safina Mohamed 

Una mshauri nini huyu dada Safina kwa hili. Tuanadikie hapo kwenye sehemu ya maoni. 

No comments: