Header Ads

Baada ya mechi za jana Jumamosi, huu hapa ndio simamo wa ligi kuu Tanzania Bara.

VODACOM PREMIER LEAGUE

Baada ya watani wa jadi kutoshana nguvu katika mechi iliyovuta hisia za mashabiki wengi kama ilivyo kawaida, huo hapo ndio msimamo. Hata hivyo Simba bado inaongoza ligi kwa faida ya magoli mengi iliyo nayo hadi sasa.

 

No comments: