BREAKING: LAZARO NYARANDU AJIUZULU NAFASI ZAKE ZOTE ZA CCM? KWA NINI?
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ajiuzulu nafasi zake CCM.
“NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo nimemwandikia Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai, Mb., barua ya kujiuzulu nafasi yangu ya UBUNGE wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia tiketi ya CCM”
“HIVYOBASI, kwa dhamira yangu, na kwa uamuzi wangu mwenyewe, nikiwa na haki ya KIKATIBA, natangaza KUKIHAMA Chama Cha Mapinduzi CCM”
Nini maoni yako?
No comments:
Post a Comment