Header Ads

#Breaking: Gazeti la Tanzania Daima limefungiwa tena.


TANZANIA DAIMA 

Dar es salaam, Tanzania 

HABARI: Serikali imelifungia siku 90 gazeti la Tanzania Daima kwa mwendelezo wa kuandika taarifa za uongo, Mhariri Mkuu, Martin Melera amethibitisha.

No comments: