MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES 2018/19 UNDERGRADUATE SELECTIONS
SELECTED APPLICANTS 2018/2019
Selected Applicants for Undergraduate Degree Programmes 2018/2019 

1. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) kinawapongeza wote waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki kwa mwaka wa masomo 2018/2019 katika Shahada mbalimbali. Bonyeza hapa kuona majina ya waliochaguliwa.
2. Wanafunzi wote waliochaguliwa MUHAS pamoja na vyuo vingine (Multiple Admissions) wanatakiwa kuthibitisha udahili wao kwa kuchagua MUHAS kwa kuingiza "Confirmation Code" iliyotumwa kwa njia ya ujumbe mfupi kutoka TCU kabla ya tarehe 6 Septemba 2018.
3. Jinsi ya kuthibitisha. Ingiza confirmation code hiyo kwenye MUHAS Online Application System. Bonyeza hapa kuingia kwenye mfumo na kuthibitisha
4. Kwa maelezo zaidi, piga simu namba; +255 782 001 306/+255 767 011 306
Selected Applicants for Postgraduate Programmes 2018/2019

Pre-Selection of Applicants for MSc by Research under Sida Support

No comments:
Post a Comment