Header Ads

TAMISEMI: AJIRA ZA WALIMU WAPYA WA SEKONDARI WALIOAJIRIWA MACHI, 2018 KUJAZA NAFASI YA WALIOSHINDWA KURIPOTI MWAKA JANA. CLICK HAPA


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUJAZA NAFASI ZA WALIMU WA
AJIRA MPYA SHULE ZA SEKONDARI  AMBAO WALIPANGIWA VITUO MWEZI DESEMBA,
2017  NA HAWAKURIPOTI

Mwezi Desemba mwaka jana (2017) TAMISEMI ilitangaza nafasi za ajira kwa walimu wa sekondari, aidha ilitoa tarehe ya mwisho kuripoti kazini lakini walimu hao HAWAKURIPOTI kwa muda uliopanga. Kwa hiyo serikali imeamua kuajiri walimu wapya wa sekondari ili kujaza nafasi hizo.

No comments: