Kauli za Kocha Mkuu wa Simba kuelekea mchezo wa Shirikisho Afrika.
🗣️ "Tunajua Utakuwa Mchezo Mgumu, Reds Arrows Watataka Kushinda Lakini Tumejipanga Kupambana Nao, Kikubwa Tunahitaji Kulinda Ushindi Wetu Tuliopata Mchezo Uliopita".
🗣️ "Wachezaji Wote Wako Kwenye Hali Nzuri Na Morali Ipo Juu Na Tunafahamu Kitu Gani Kinatakiwa Kufanyika Kuelekea Mchezo Wa Jumapili Ili Kuwapa Furaha Mashabiki Wetu".
- Pablo Franco
Kocha Mkuu Simba SC
No comments:
Post a Comment