Header Ads

Maoni ya Mdau wa Michezo Geoff Lea dhidi ya Mkataba wa GSM na TFF.



🗣“Kuna tofauti kubwa kati ya AZAM FC na AZAM TV hakuna mahali popote unaweza kuona viongozi wa AZAM TV kama kina Tido Mhando, Yahya Mohamed wanajihusiha na shughuli za klabu ya Azam FC.

“Lakini upande wa GSM unamkuta Hersi, anaweza kuzungumza vyovyote lakini operations za klabu ya Yanga kwa asilimia kubwa zinaendeshwa na haohao viongozi wa GSM. Mtu mmoja anajihuisha na kusajili Yanga na hapohapo yupo katika upande wa kampuni ya GSM lazima mashaka yawepo.” amesema mchambuzi Geoff Lea.

No comments: