MAJONZI: MMILIKI WA MAGARI "SUPER SAMI" AUAWA KIKATILI NA KUTUPWA MAJINI.
![]() |
Mwili wa marehemu Josiah katika kiroba/Sandarusi uliotelekezwa majini. |
![]() |
Samson Josiah enzi za uhai wake |
Taarifa zilizotufikia ni kwamba mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah umeokotwa na wavuvi katika mto Ndabaka mkoani Mara, ukiwa kwenye mfuko wa Sandarusi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Jafari Mohamedi amesema jeshi la polisi limeelekea eneo la tukio kufuatilia tukio hilo kwa undani, kwani kuna mkanganyiko wa taarifa kuwa mwili wa mmiliki huyo uliokotwa ukiwa umekatwa katwa mapanga na gari lake kuchomwa moto wiki iliyopita.
Chanzo: EATV
No comments:
Post a Comment