Header Ads

Huyu ndiye Rais wa Mauritius aliyekataa kujiuzulu. Kwa nini? Soma hapa


Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim amekataa kujiuzulu, akiapa kupambana na madai ambayo yamemtumbukiza katika kashifa kubwa la kifedha. Gurib-Fakim, Rais huyo pekee mwanamke barani Afrika, anatuhumiwa kwa kutumia kadi ya benki aliyopewa na shirika moja lisilo la kiserikali kujinunulia bidhaa na kulipia huduma.

No comments: