Uwanja wa Mechi ya Red Arrows vs Simba SC
SIMBA ZAMBIA: Huu ndiyo uwanja itakapopigwa mechi ya #CAFCC kati ya Red Arrows dhidi ya Simba kesho Jumapili kuanzia saa 10:00 jioni.
Ni National Heroes Stadium, na Simba watapata fursa ya kufanyia hapa mazoezi yao ya mwisho jioni ya leo.
Unaweza pia kusoma >>>Majibu ya vipimo vya COVID 19 kwa wachezaji wa Simba
#SimbaZambia #CafConfederationCup #CAFCC #SimbaSC #RedArrows
No comments:
Post a Comment