Header Ads

TAMISEMI: AJIRA MPYA ZA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MACHI, 2018 KUJAZA NAFASI ZA WALIMU AMBAO HAWAKURIPOTI MWAKA JANA DESEMBA, 2017. CLICK HAPA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUJAZA NAFASI ZA WALIMU WA
AJIRA MPYA SHULE ZA MSINGI  AMBAO WALIPANGIWA VITUO MWEZI DESEMBA,
2017  NA HAWAKURIPOTI

Mwezi Desemba mwaka jana (2017) TAMISEMI ilitangaza nafasi za ajira kwa walimu wa sekondari, aidha ilitoa tarehe ya mwisho kuripoti kazini lakini walimu hao HAWAKURIPOTI kwa muda uliopanga. Kwa hiyo serikali imeamua kuajiri walimu wapya wa sekondari ili kujaza nafasi hizo.

KUPATA MAJINA HAYO, CLICK HAPA KUPAKUA PDF YENYE MAJINA

KUSOMA TAARIFA KAMILI KUHUSU AJIRA KUTOKA TAMISEMI CLICK HAPA

No comments: