Header Ads

#KENYA: Uchaguzi wa kumpata Rais nchini Kenya unaendelea ingawa Odinga anaita ni maonyesho ya Jubilee.

Uchaguzi mkuu nchini Kenya wa awamu ya pili baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa kwanza
Mgombea kutoka Muungano wa NASA, Odinga 

Nairobi, Kenya 


Wapiga kura nchini Kenya wanaendelea na zoezi la upigaji kura kumchagua rais baada ya uchaguzi wa awali uliompa ushindi, Uhuru Kenyatta kubatilishwa na mahakama ya juu lakini upinzani bado wanaendelea kususia uchaguzi huo. Katika hotuba yake kwa taifa  hapo jana Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upigaji kura huku akiwahakikishia usalama wa kutosha.

Itakuwaje? Ni nini maoni yako juu ya siasa za Afrika ikiwemo Kenya? 

No comments: