Header Ads

JE, UNATAKA KUHAMA CHUO ULICHOPANGIWA? TCU IMETOA MWONGOZO

How to transfer between the University Colleges 2017 /2018
Pengine unaweza kuchaguliwa bila kupenda ingawa uliomba mwenyewe, au kulingana na nafasi kujaa kwenye chuo ulichokuwa umepanga. Ikumbukwe kuwa chuo sio kama shule ya msingi au Sekondari kwamba utaenda kwa Afsa Elimu Msingi au Sekondari wa Wilaya au Mkoa. 
Huwa kuna taratibu maalumu za kuhama chuo au kuhamia kozi nyingine. 

Leo TCU imetoa utaratibu unaoweza kukuwezesha uhame chuo kwenda kingine au ndani ya matawi ya chuo maarufu kama Inter-University and Inter-University Transfer.



No comments: