#Michezo: Kocha Mayanga ataja kikosi cha Taifa Stars kucheza na Benini, Farid Muss ana Maguli wamo pia
DAR ES SALAAM, Tanzania
Timu ya taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) inatarajia kuingia kambini tarehe 05 Novemba, 2017 kujiandaa na mchezo dhidi ya Benini unaotarajiwa kuchezwa Benini tarehe 11 Novemba, 2017.
Maguri aliyekuwa anacheza Oman na Farid Mussa anayecheza Tenerife B ya Hispania, ambao wote hakuwaita kwenye mchezo uliopita dhidi ya Malawi, uliomalizika kwa sare ya 1-1 Oktoba 7, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kikosi kamili cha Taifa Stars kilichotajwa leo kinaundwa na;
Makipa;
Aishi Manula (Simba SC), Peter Manyika (Singida United) na Ramadhani Kabwili.
Mabeki:
Boniphace Maganga (Mbao FC),
Abdi Banda (Baroka FC/Afruka Kusini),
Gardiel Michael (Yanga),
Kevin Yondan (Yanga),
Nurdin Chona (Prisons),
Erasto Nyoni (Simba) na
Dickson Job (Mtibwa Sugar).
VIUNGO:
Himid Mao (Azam FC),
Hamisi Abdallah (Sony Sugar/Kenya), Muzamil Yassin (Simba),
Raphael Daudi (Yanga),
Simon Msuva (Yanga),
Shiza Kichuya (Simba),
Ibrahim Hajib (Yanga),
Mohammed Issa (Mtibwa),
Farid Mussa (Tenerife/Hispania) na
Abdul Mohammed (Tusker/Kenya)
Washambuliaji
Mbwana Samatta (KRC Genk/Ubelgiji),
Mbaraka Yussuf (Azam FC),
Elias Maguri (Huru) na
Yohanna Nkomola (Huru).
Nini maoni ysko juu ya kikodi hiki? Tuandie hapo chini.
No comments:
Post a Comment