Header Ads

Hali ya Mbwana Samatta yazidi kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji.


Nahodha wa Taifa Stars na KRC Genk ya Ubeligiji, Mbwana Samatta amesema anashukuru Mungu anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa oparesheni.

Aidha amewashukuru madaktari, washabiki wake pamoja na wote waliomuombea dua njema.

KALUNDE BLOG inamtakia afya njema ili arudi kuipeperusha bendera ya Tanzania 

No comments: