Hawa ndio walioitwa kwenye interview 14-18 Novemba, 2017 katika taasisi mbalimbali.
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.NaEA.7/96/01/J/59
09Novemba, 2017
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tanzania Atomic Energy Commission (TAEC), The College of African Wildlife Management (MWEKA), The Institute of Accountancy Arusha (IAA), Tropical Pesticides Research Institute (TPRI), National Institute of Transport (NIT), The Institute of Adult Education (IAE), The Institute of Rural Development Planning (IRDP) na College of Business Education (CBE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14-18 Novemba, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye Usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- >>Read more
No comments:
Post a Comment