Header Ads

LAZARO NYALANDU KUCHUNGUZWA NA TAKUKURU.



Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, ameliagiza Jeshi la Polisi na TAKUKURU kumchunguza aliyewahi kuwa waziri wa wizara hiyo Lazaro Nyalandu, ili waweze kumchukulia hatua kwa tuhuma zinazomkabili.

No comments: