Header Ads

KENYA WALIA NA SHILINGI YAO, YAZIDI KUSHUKA KULINGANISHA NA DOLA YA MAREKANI.



UCHUMI: Shilingi ya Kenya imeendelea kuporomoka ikilinganishwa na Dola ya Marekani. Kushuka huku kunachangiwa na muendelezo wa mgogoro wa kisiasa nchini humo. 

No comments: