ZIMBABWE: Inadaiwa kuwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Emmerson Mnangagwa siku ya kesho anaweza kutangazwa kuwa Rais wa muda wa taifa hilo Rais wa sasa, Robert Mugabe atatangaza kujiuzulu na kwenda kuishi uhamishoni.
Watu wa Zimbabwe bado wanasubiri kuona hatua ambazo jeshi litachukua baada ya kutwaa madaraka ya nchi hiyo huku Rais Robert Mugabe yuko katika kizuizi cha nyumbani mjini Harare, mkewe Grace akimbia nchi. AU yasema hatua ya jeshi la Zimbabwe ni kama mapindunzi.
RAIS ROBERT MUGABE KUJIUZULU, NAFASI KUCHUKULIWA NA MAKAMU ALIYEMFUTA KAZI.
Reviewed by
Habari
on
Thursday, November 16, 2017
Rating:
5
No comments:
Post a Comment