Header Ads

MADAKTARI BINGWA NA WATOA HUDUMA ZA AFYA 381 KUANZA KUTOA HUDUMA TANZANIA.


Dar es Salaam, Tanzania 

Meli ya Kijeshi ya Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China iliyobeba madaktari bingwa na watoa huduma za afya 381 imewasili hii leo jijini Dar es salaam

Meli hiyo yenye ghorofa Saba imewasili majira ya saa tatu asubuhi hii leo katika Bandari Kuu ya Dar es salaam ambapo madaktari katika meli hiyo watatoa huduma kuanzia kesho.

No comments: