
Wafanyakazi wa kikosi cha zimamoto jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wakifanya jitihada za kuzima moto katika eneo la gereji la kituo cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi cha Ubungo. Moto huo uliteketeza matairi chakavu na chanzo chake bado hakijajulikana.
Chanzo: DW
No comments:
Post a Comment