Header Ads

WATU 11 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA NDEGE MKOANI ARUSHA.







Arusha, Tanzania


Watu 11 waliokuwa wanasafiri na Ndege ndogo ya abiria ya kampuni ya Costal Air iliyokuwa inatoka katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha kuelekea hifadhi ya taifa ya Serengeti wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Ndege hiyo kuanguka katika eneo la Embakai wilayani Ngorongoro mkoani Arusha.

No comments: