RAILA ODINGA KUITISHA MAANDAMANO UPYA JUU YA UHURU KENYATTA

Muungano wa Upinzani (NASA) nchini Kenya umesema una mpango wa kuanza kufanya maandamano wiki ijayo yenye lengo la kuonyesha kutoitambua serikali.
Kadhalika NASA imepanga orodha ya bidhaa na huduma zitakazosusiwa na wafuasi wake ikiwa ni pamoja na majengo ya kibiashara ambayo imetundika picha ya Rais Kenyatta.
No comments:
Post a Comment