Rais Magufuli atembelea mradi wa ujenzi wa barabara za juu za Ubungo ‘Ubungo Interchange’, aagiza jengo la makao makuu ya TANESCO lililopo eneo hilo pamoja na jengo la wizara ya maji ambalo liko mkabala na jengo la TANESCO, yawekwe alama ya ‘X’ ili yabomolewe kupisha mradi huo.
No comments:
Post a Comment