TAARIFA NJEMA KUTOKA TANESCO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
SHIRIKA LA UGAVI WA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA KWA UMMA
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa wilaya ya TANESCO Tegeta, huduma ya umeme katika laini ya TG5 imerejea saa 06:20 mchana huu tarehe 04/11/2017.
JITIHADA ZINAZOENDELEA
Mafundi wa Shirika wanafanya jitihada kufuatilia chanzo cha hitilafu na kuhakikikiha huduma ya umeme inerejea maeneo yote ambayo bado hayajapata umeme ikiwamo, Mivumoni, Kulangwa, Malobo na Atlas Schools.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.
Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamiiwww.facebook/tanescoyetultd /twitter.com/tanescoyetu
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
04/11/2017
No comments:
Post a Comment