ACT WAZALENDO
MKUTANO WA CHAMA
TAARIFA KWA WAANDISHI
Kutokana na madhila mbali mbali yanayowakabili viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo kwa sasa,Kesho Jumapili Novemba 5/2017,Mwenyekiti wa Chama Taifa ndugu Yeremia Maganja ataongea na waandishi wa habari juu ya masuala hayo
Wapi:Makao Makuu ya ACT Wazalendo yaliyopo Sayansi Kijitonyama jirani na Kanisa la KKKT
MUDA:Saa tano kamili(5:00)asubuhi.
Muhimu kuwahi muda na chama kitalinda muda wa waandishi
Karibuni wote
Abdallah Khamis
Afisa Habari ACT Wazalendo
Imetolewa leo Jumamosi Novemba 4/2017
No comments:
Post a Comment