TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI PTF, NHIF, TAFIRI, NCT & ARDHI UNIVERSITY. GUSA HAPA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/J/117
06 Aprili, 2018
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF), Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) na Chuo Kikuu cha Ardhi, anatarajia kuendesha usaili na
hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
No comments:
Post a Comment