TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MOI, KEC, FCC & KCMC. CLICK HAPA
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Kibaha Education Centre (KEC), Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI), Fair Competition Commission (FCC) na Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) anapenda kuwataarifu waombaji kazi katika Taasisi zilizotajwa kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18-28 Agosti, 2018 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Waombaji kazi wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
No comments:
Post a Comment