Header Ads

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MNH, FETA, TAFIRI, TAA, STAMICO, TDB & SIDO. CLICK HAPA

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Muhimbili National Hospital (MNH), Fisheries Education and Training Agency (FETA), Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Tanzania Airports Authority (TAA), State Mining Corporation (STAMICO), Tanzania Dairy Board (TDB) na Small Industries Development Organization (SIDO) anapenda kuwataarifu waombaji kazi katika Taasisi zilizotajwa kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-17 Agosti, 2018 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Waombaji kazi wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo  yafuatayo:- 
Click hapo kusoma mambo ya kuzingatia na majina ya wale waliochaguliwa. 

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. CLICK HAPA

No comments: