NECTA WAONGEZA MUDA WA USAJIRI KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018. CLICK HAPA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
KUONGEZWA MUDA WA KUJISAJILI KWA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA CSEE NA QT 2018.
KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA ANAPENDA KUWATANGAZIA WATU WOTE WANAOKUSUDIA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA MAARIFA (CSEE & QT) 2018 KAMA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA KWAMBA, MWISHO WA KIPINDI CHA USAJILI WA MALIPO YA ADA PAMOJA NA FAINI (Tsh 65,000 KWA CSEE NA Tsh 40,000 KWA QT), UMEONGEZWA KUTOKA TAREHE 31/03/2018 HADI TAREHE 30/04/2018.
MALIPO YOTE YAFANYIKE KUPITIA POSTA TU.
HIVYO, WAOMBAJI WOTE WAHAKIKISHE WANAJISAJILI MAPEMA KWA NJIA YA MTANDAO KUPITIA TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI: www.necta.go.tz.
IMETOLEWA NA:
KATIBU MTENDAJI
No comments:
Post a Comment